Kwa sasa katika ulipaji wa ADA tupo katika awamu ya mwisho ambayo inaanza mwezi August hivyo Kwa Nursery Scholars wanapaswa kulipa 100,000/= na Kwa Primary ni 200,000/= . Pia tarehe za kupokea pesa ya usafiri ni tarehe 1 2 na 3 kama bado hujatoa hakikisha unalipa haraka iwezekanavyo kabla ya hizo tarehe ili kuondosha usumbufu utakaojitokeza
Firdaus Education Centre Offers The Following Services.